Maelekezo ya Kujisajili

Jaza taarifa za mtumiaji wa mfumo kama ambavyo fomu ya usajili inavyoelekeza.


Mtumiaji wa mfumo ni nani ?

Mtumiaji wa mfumo anawezakuwa

  1. Mtu binafsi anayetaka kutuma maombi au malalamiko wizarani
  2. Mtu binafsi au Mwanasheria anayetaka kusaidia kutuma maombi wizarani akimwakilisha mtu au taasisi
  3. Mwakilishi kutoka ndani ya taasisi inayotaka kutuma maombi wizarani (Mfano: Mwanasheria aliye ajiriwa na taasisi)

Kama ulishajisajili, tafadhali bonyeza kitufe kuingia kwenye mfumo.


Ingia kwenye mfumo

Fomu ya Jisajili

 
 
Kubadili code, bonyeza juu ya code inayoonekana
— OR —
Ghairisha usajili
Pakua Kitabu cha Mafunzo ya Mfumo
Kwa msaada : 0714237904   supports@sheria.go.tz